Nafasi za Kazi 5 ZIAAT Zanzibar

Share and send to your friends !

The total number of job posts listed here for the Zanzibar Institute of Accountants, Auditors and Tax Consultants (Taasisi ya Wahasibu, Wakaguzi na Washauri wa Kodi Zanzibar - ZIAAT) is 5 posts in October 2026.

This professional regulatory recruitment targets specialized officers in standards and quality control, information technology, membership registration, and tax compliance to oversee professional audit quality, maintain software systems, manage member outreach, and monitor tax advisory ethics across Unguja.

Job Title / Specialization Posts
Afisa Viwango na Udhibiti wa Ubora Daraja la II - Unguja (Standards and Quality Control Officer Grade II) 2
Afisa TEHAMA Daraja la II - Unguja (ICT Officer Grade II) 1
Afisa Usajili wa Wanachama Daraja la II - Unguja (Member Registration Officer Grade II) 1
Afisa Kodi Daraja la II - Unguja (Tax Officer Grade II) 1
TOTAL POSTS 5

ZANZIBAR INSTITUTE OF ACCOUNTANTS, AUDITORS AND TAX CONSULTANTS (ZIAAT)

Vacancies: 5  |  Latest closing: Nov 9, 2026 Apply

Afisa Viwango na Udhibiti wa Ubora Daraja la II -UNGUJA

Posts: 2  |  Closing: Nov 9, 2026 Apply  |  Period: 27/10/2026 - 09/11/2026  |  Scale: ZPSH-10

Duties and Responsibilities

  • Kufanya maandalizi katika utekelezaji wa ziara za Ukaguzi wa Ufanisi, lesseni na viwango vya kitaalamu;
  • Kukusanya taarifa na nyaraka muhimu kwa ajili ya mapitio ya ubora;
  • Kuweka kumbukumbu sahihi za matokeo ya Ukaguzi;
  • Kukusanya na kuwasilisha taarifa na nyenzo zitakazotumika katika uandishi wa ripoti za awali za tathmini ya ubora;
  • Kuweka kumbukumbu za maendeleo za wanachama waliotembelewa vipindi vilivyopita;
  • Kufanya matayarisho ya zoezi la ufatiliaji ubora wa huduma zinazotolewa na wataalamu;
  • Kufanya kazi nyingine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 45.

Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani Uhasibu Ukaguzi au fani ya Uchumi na fedha za Kiislamu (Islamic Economics and Finance) au inayolingana nayo kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Awe ni Mhasibu  Aliyethibitishwa (Certified Public Accountant -CPA) au Mkaguzi wa Ndani Aliyethibitishwa ( Certified Internal Auditor -CIA)

Kwa mwenye Elimu ya “Islamic Banking na Finance” hatohusika na kigezo nambari iii.

Apply for this position

Afisa TEHAMA Daraja la II-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Nov 9, 2026 Apply  |  Period: 27/10/2026 - 09/11/2026  |  Scale: ZPSH-10

Duties and Responsibilities

  • Kuorodhesha mahitaji ya mifumo mbalimbali ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano inayohitajika katika Taasisi;
  • Kutengeneza  na kuendelea Mifumo ya Kielektroniki.
  • Kusimamia hifadhi Data na uchakataji wa taarifa.
  • Kuhakikisha usalama wa Mifumo na taarifa.
  • Kuingiza taarifa za kimfumo kwa matumizi ya Taasisi;
  • Kupima, kutatua hitilafu na kutunza Mifumo.
  • Kufanya            kazi    nyengine        zinazolingana           na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake

Qualifications

Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 45.

Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ‘’Science in software enginering’’ au inayolingana nayo kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Awe na ujuzi wa kutumia “Backend Developer''

Apply for this position

Afisa Usajili wa Wanachama Daraja la II-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Nov 9, 2026 Apply  |  Period: 27/10/2026 - 09/11/2026  |  Scale: ZPSH-10

Duties and Responsibilities

  • Kufuatilia upatikanaji wa Wanachama kutoka Taasisi mbali mbali;
  • Kutangaza huduma na fursa za kitaaluma za taasisi;
  • Kusimamia matangazo na utambulisho wa taasisi
  • Kuingiza taarifa za usajili wa wanachama;
  • Kufanya utafiti wa soko na kubaini fursa za maendeleo ya taasisi
  • Kufanya kazi nyingine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 45.

Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ya Masoko au inayolingana nayo kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Awe na taaluma ya ”Graphics Design” na “Artificial Interligence”

Awe na uwezo wa Kuzungumza na kuandika Kiengereza kwa ufasaha

Apply for this position

Afisa Kodi Daraja la II -UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Nov 9, 2026 Apply  |  Period: 27/10/2026 - 09/11/2026  |  Scale: ZPSH-10

Duties and Responsibilities

  • Kufatilia uzingatiaji wa sheria na viwango vya kitaaluma vya kodi.
  • Kufatilia madili na ubora wa huduma za ushauri wa kodi.
  • Kufanya utafiti na kuandaa na kuboresha taaluma ya kodi.
  • Kuratibu ushirikiano na wadau na kutoa elimu kuhusu taaluma ya kodi.
  • Kuibua changamoto mbali mbali zinazohusiana na wahasibu wakaguzi na washauri Elekezi wa Kodi katika utekelezaji wa majukumu yao.
  • Kushiriki katika kufatilia ubora wa huduma zinazotolewa na wataalamu.
  • Kufanya kazi nyingine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 45.

Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ya Kodi au inayolingana nayo kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

Awe na uwelewa wa Sheria na kanuni na Sera za kodi zinazotumika Zanzibar na Tanzania.

Awe uwelewa wa kanuni za maadili na viwango vya kitaaluma zinazohusiana na kodi

Apply for this position

Head of Internal Audit 2026-10-12T18:24:14+00:00 Dangote Industries Limited https://cdn.tanzania-jobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_3722/logo/dangote%20tanzania.png https://www.dangotecement.com/ FULL_TIME Mtwara Tanzania 00000 Tanzania Construction Management, Accounting & Finance, Business Operations TZS MONTH 2026-10-25T17:00:00+00:00 8 We are in search…