Vacancy title:
2 Dereva Mitambo II (Plant Operator):
Jobs at:
Arusha City Council
Deadline of this Job:
18 December 2020
Within Tanzania , Arusha , East Africa
Summary
Date Posted:
Monday, December 14, 2020
, Base Salary:
Not Disclosed
JOB DETAILS:
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji anawatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Jiji la Arusha kutuma maombi ya kazi ya muda kwa Mkurugenzi wa Jiji ndani ya siku 14 kuanzia tarehe ya Tangazo hili. Nafasi hizi ni za muda wa miezi sita kwa kazi zilizopangwa na kuidhinishwa na Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2020/2021. .
Sifa zinazotakiwa
• Awe na cheti cha kidato cha nne ambaye (Plant Operator) ana leseni Daraja "G" ya kuendesha mitambo na kutunza vyombo mbalimbali vya mitambo hiyo.
• Mwenye uzoefu wa kuendesha mitambo kwa muda wa miezi mitatu bila kusababisha ajali.
Job Skills: Not Specified
Kazi na Majukumu
• Kuendesha mitambo chini ya Dereva mitambo mwenye uzoefu. • Kufanya matengenezo maodogomadogo ya mitambo
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
Work Hours: 8
Job application procedure
MAELEZO YA JUMLA
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na Mwenye akili timamu.
• Waombaji wawe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45.
• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya Elimu/taaluma, cheti cha kuzaliwa na maelezo binafsi (CV).
• Mshahara utakuwa wa makubaliano kwa kuzingatia bajeti.
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 18/12/2020 saa 9:30 alasiri.
• Maombi yatakayotumwa kwa mkono hayatapokelewa.
• Waombaji wenye uzoefu wa kazi watapewa kipaumbele.
Maombi yatumwe kwa anuani ifuatayo:
Mkurugenzi,
Halmashauri ya Jiji la Arusha
S.L.P. 3013, Arusha.