MWALIMU DARAJA IIIC at Ministry of Health (MOH)

Share and send to your friends !

POST MWALIMU DARAJA IIIC – 1 POST
POST CATEGORY(S) EDUCATION AND TRAINING
EMPLOYER MINISTRY OF HEALTH (MOH)
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na mpango wa kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na kufaghua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii.Kufundisha, kufanywa tathimini na kutunza kumbukumbu za maendeleo ya wanafunzi;

iv.Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi shuleni na darasani;

v.Kusimamia malezi ya wanafunzi kiakili, kimwili, kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;

vi.Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu Maendeleo ya Elimu;

vii.Kusimamia na kutunza vifaa na mali za shule; na

viii.Kufanywa kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Elimu au Ualimu yenye somo la Kingereza (English) la kufundishia kutoka Vyuo vya Elimu ya juu vinavyotambulika na Serikali.

 

REMUNERATION TGTS D

The deadline for submitting the application is 23 February, 2021

CLICK HERE TO APPLY

Overview Baylor College of Medicine Children’s Foundation – Tanzania (Baylor Tanzania) is a local Non-Government Organization (NGO) registered in 2009 dedicated to supporting the provision of high-quality, comprehensive HIV/AIDS care…
Overview Job Title:  Anesthetist Department : Health and Safety Reports To : HOD Health and Safety   Job Summary:       Responds to the anesthetic needs of patients and coordinates…