Health and Safety Officer

Maelezo

  • Lodhia Steel Industries Limited inatangaza nafasi ya kazi ya Health and Safety Officer.

Sifa

  • Awe na BSc. Environmental Sciences and Management.
  • Awe na ujuzi wa kutimia kompyuta.
  • Awe na vyeti vya mafunzo ya healthy and safety vinavyotolowa na OSHA
  • Awe n a uzoefu wa kufanya kazi hiyo usiopungua miaka 5, kipaumbele kitatolewa kwa aliyefanya kazi viwandani

Majukumu:

  • Kusimami shughuli zote za OSHA Kiwandani
  • Kusimamia shuguli za NEMC na ukaguzi (Auditing)
  • Kusimamia mazingira na usalama mahli pa kazi

Mshahara

  • Msharaha mzuri utatolewa

Maombi yote yatumwe kwa kupitia [email protected] au yaletwe kiwandani Lodhia Steel Industries Ltd Kisemvule Mkuranga.

Mwisho wa kupokea maombi ni 15 january 2021.


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
POST:  NURSING OFFICER  II – 3 POSTS POST: CATEGORY(S) HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL EMPLOYER: Occupational Safety and Health Authority (OSHA) APPLICATION TIMELINE: 2021-02-17 2021-03-02  DUTIES AND RESPONSIBILITIES   To carry out…