2 Fundi Sanifu Msaidizi (Mechanical) Job at public Service Recruitment Secretariat – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Mechanical Engineering
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  10 September 2020
Duty Station:  Dar Es Salaam
Posted: 28-08-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
2 Fundi Sanifu Msaidizi (Mechanical)

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Science & Engineering ]

Jobs at:

public Service Recruitment Secretariat

Deadline of this Job:
10 September 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Friday, August 28, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi Ya Rais
Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma
Kumb. Na EA.7/96/01/ K/270 27 Agosti, 2020
Tangazo La Nafasi Za Kazi
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi kumi na mbili (12) kama zilivyoainishwa hapa chini.
2 Fundi Sanifu Msaidizi (Mechanical)
Kituo cha kazi watakachopangiwa: Wizara ya Kilimo .

MAJUKUMU YA KAZI
• Kuchunguza na kutambua matatizo ya magari na mitambo na kufanya matengenezo;
• Kufanya matengenezo kinga (Preventive maintenance) ya ‘Clutch’, ‘Gear boxes’ mifumo ya breki; na
• Kufanya majaribio ya ubora wa magari na mitambo baada ya matengenezo.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye elimu ya Kidato cha IV waliofuzu mafunzo ya mwaka mmoja katika fani yenye mwelekeo wa Ufundi Mechanical kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.


Job Education Requirements: Not Specified


MSHAHARA: Kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya Mshahara TGS B


Work Hours: 8

 

Job application procedure
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo;- http://portal.ajira.go.tz/   (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’).

Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Overview The people’s Bank of Zanzibar Limited (PBZ) is a Semi-Autonomous Public Institution which is 100% owned by the Revolutionary Government of Zanzibar.  It was established on June, 30 1966…
Other District Other Location Details Description Required Qualifications (a) Veta certificate with experience in the field of more than 5 years (b) Age required not more than 50 years (c)…
Other District Other Location Details Description Required Qualifications (a) Diploma holder in Electrical Engineering/FTC (b) Experience in either Power Plant, Steel Industry or Cement Industry for more than 3 years…