Cashier

Other District Other Location
Details
Description

Salary Currency: Tanzanian Shilling

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

CASHIER (MPESA,NMB, CRDB ETC)

UWENDE GENERAL SUPPLY (UGS) ina watangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapa chini kuomba nafasi ya kazi

MTUNZI (Cashier)

SIFA ZA MWOMBAJI-:

i. Awe msichana a aliyehitimu kidato cha iv au vi

ii. Awe na uwezo wa hesabu

iii. Unapokua na cheti cha mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikari na kupata cheti cha program za windows, Microsoft office, internet, email na publisher.unapata nafasi kubwa ya kuchaguliwa

iv. Muombaji anatakiwa kuwa mwaminifu na mwenye jitihada katika kazi

.

KAZI ZA KUFANYA-:

i. Kuhudumia wateja wa NMB, CRDB , MPESA etc

ii. Kuchapa barua , taarifa na nyaraka za kawaida.

iii. Kusaidia kupokea wageni, kuwasaili shida zao na kuwaelekeza

iv. Kusadia kutunza taarifa ,kumbukumbu za matukio, wageni,kumbukumbu za hesabu pamoja na kazi zingine unazopewa na kiongozi wako

v. Unapaswa kufanya kazi kwa wakati na kwa umakini

MASHARTI YA JUMLA

i. Mwombajii awe raia wa Tanzania

Barua za maombi ziandikwe kwa mkono na mwombaji mwenyewe zikionesha anwani sahihi pamoja na namba ya simu na kuambatanisha

· Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo

· Kitambulisho cha utaifa au namba za kitambulisho

Kuwa na wadhamini wawili wanaotambulika waandike katika CV

· Ufupisho wa taarifa za mwombaji (cv)

· Kivuli cha cheti cha kuzaliwa

· Picha mbili za rangi (passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

iii. Maombi yote yapitishwe na kiongozi wa mtaa/kata/kijiji mahali anapoishi mwombaji

iv. Mwisho wa kupokea barua za maombi hayo ni tarehe 30/07/2020 saa 9:00 alasiri

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Mkurugenzi, Uwende General Supply, S.L.P 157, IGUNGA –TABORA au Barua pepe :[email removed]

Imetolewa na:-

Mkurugenzi

UWENDE GENERAL SUPPLY (UGS)

S.L.P 157 – IGUNGA

KAZI ZA KUFANYA-: i. Kuhudumia wateja wa NMB, CRDB , MPESA etc ii. Kuchapa barua , taarifa na nyaraka za kawaida. iii. Kusaidia kupokea wageni,

Apply for this job
To apply for this job, please go to the following website https://www.brightermonday.co.tz/listings/cahier-486wj8
Activate Notifications
To receive the latest updates & news
Subscribe
Deactivate Notifications
To stop receiving the latest updates & news
Unsubscribe
Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Other District Other Location Details Description Professional Qualifications: Bachelor of Commerce in Accounting or related field CPA Competencies High level IT skills Knowledge of one or more accounting packages (experience…
Other Arusha District Arusha Details Description Salary Currency: Tanzanian Shilling preparing accounts and tax returns · administering payrolls and controlling income and expenditure · auditing financial information · compiling and…
Other Mwanza District Mwanza Details Description · Review insurance applications for compliance and adherence so that the company can collect premiums from Insurers. · Assess clients’ background information and financial…