ZanFlavour juice Zanzibar


Share and send to your friends !
Mjini Magharibi Zanzibar
Details
Description

Anatafutwa kijana jinsia yoyote atakayeweza kuendesha bicycle ya kusambaza juice mjini Unguja.
Awe anajielewa na kujitambua.
Awe amehitimu kidato cha nne.
Awe na nidhamu na kazi yake.
Kampuni haitomgharamikia malazi wala chakula ni juu ya mwajiriwa mwenyewe.

Apply for this job
Contact via Phone

Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo

Industry: Building Manufacturing Location: Tanzania Minimum education: bachelor’s degree Required Experience: Minimum 1 year Job Purpose To communicate with stakeholders involved in the planning process, involved in development management, to…