Water Laboratory Technican II job at Ministry of Water and Irrigation

Share and send to your friends !

Vacancy title:
Water Laboratory Technican II

[ Type: FULL TIME , Industry: Nonprofit, and NGO , Category: Science & Engineering ]

Jobs at:

Ministry of Water and Irrigation

Deadline of this Job:
07 April 2022  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Friday, March 25, 2022 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Duties and responsibilities
• Uchukuaji wa sampuli za maji na udongo kwa ajili ya upimaji;
• Kufanya matengenezo ya vifaa vya maabara ya kawaida na ya dharula yanapohitajika;
• Kufanya upimaji wa maji na udongo wa maeneo ya miradi na kuaandaa maelekezo ya matibabu yanayohitajika;
• Ukusanyaji wa takwimu za hali ya maji na udongo zinazohitajika kwenye maeneo ya miradi;
• Kufanya uchunguzi wa sampuli za maji safi na maji taka kwa kutumia vifaa maalum (specialize equipment) kama vile Atomic Absorption Spectrophotometer, Kjeldah na mashine nyinginezo;
• Kubaini viwango vya kiasi cha madawa yanayohitajika kwa kutibu na kusafisha maji (dosage);
• Kufanya uchunguzi wa madawa ya kutibu na kusafisha maji; na
• Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualification and experience
• Kuajiriwa wenye elimu ya sekondari na cheti cha ufundi FTC au Stashahada ya Ufundi katika fani za Maabara za Maji kutoka katika chuo kinachtambuliwa na Serikali. Wawe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

Work Hours: 8


Experience in Months: 24

Level of Education:
Bachelor Degree

Job application procedure
To apply follow this link http://portal.ajira.go.tz/index.php/user/auth/login/3986  

FINANCE INTERN We are looking for a committed and vibrant fresh graduate to join our Finance team Qualification Education: Bachelor’s Degree in Accounting or relevant business field   Position Based:…
Kinondoni, Sinza Dar Es Salaam Details Description MIKOANI PIA TUNA MAWAKALA NDUGU…. Gym Protein Powder za Kujenga, Kujaza na Kukata Mwili ndugu… #USIPIGE GYM KAVU NDUGU UTAKAUKA… ???? Apply for…
Mwanga Kilimanjaro Details Description A qualified pharmacist with either diploma or degree on the field Apply for this job Contact via Phone 0784696384 Send your application with cv and we…
Kinondoni, Magomeni Dar Es Salaam Details Description Kuna ajira mbali mbali zinapatikana kwetu ila kuna kiingilio zingatiai ilo Apply for this job Contact via Phone 0687323617 Ajira