Nafasi za kazi


Share and send to your friends !
Kinondoni, Kimara Dar Es Salaam
Details
Description

Wanahitajika
1.wakaka wawili wakuuza duka la nafaka la jumla(nafasi2)
2.wadada wawili wakupika supu,chai na vitafuno mbalimbali kama chapati,maandazi,sambusa na vitumbua.
3.wakaka wawili wa kutengeneza chips,mishikak,na nyama choma (nafasi 2)

Apply for this job
Contact via Phone

.Fursa ni kwa wakazi wa Kimara
.Uwe mwaminifu
.pia Mchapakazi

Malipo
makubaliano Kati ya mwajiri na mwajiriwa

Karibuni sana

Position:  Human Resources and Legal Intern – Dar es salaam GardaWorld is a leading company in the region in provision of security solutions, facilities management, and training services across East…
About Geita Town Council (MC) Geita Town Council is one of the two council forming Geita District, Other Council is Geita District Council. Geita district is one of the five…
Customer Experience Executive    Truly African We are a diversified standalone African financial services group, delivering an integrated set of products and services across personal and business banking, corporate and…