Mtangazaji Job at Dar24 Media – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Accounting/ Finance
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  10th August 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 04-08-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
Mtangazaji

[ Type: FULL TIME , Industry: Media , Category: Media, Communications & Writing ]

Jobs at:

Dar24 Media

Deadline of this Job:
14 August 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, August 04, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TANGAZO LA KAZI
Dar24 Media ni chombo cha habari cha mtandaoni kilichosajiliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa mujibu wa sheria, kilichojikita katika kutoa maudhui yanayozingatia miiko na kanuni za uandishi wa habari kwa maslahi ya umma.
Tunatangaza fursa tukilenga kumpata kijana mwenye kipaji na ufanisi katika tasnia ya uandishi wa habari na utangazaji. .

Majukumu Makuu:
• kuandaa na kusoma habari, magazeti;
• kuandaa na kutangaza vipindi;
• kufanya makala;
• kufanya mahojiano na watu maarufu/mashuhuri, wateja na umma; na
• kazi nyingine zinazoendana na hizo.


Job Skills: Not Specified


Nafasi: Mtangazaji/muandaaji wa vipindi vya habari za TV Vigezo:
• awe na uwezo wa kuandaa na kutangaza habari;
• awe na uwezo wa kufanya mahojiano na vyanzo mashuhuri, maarufu n.k;
• awe na uwezo wa kuandaa/kufanya makala za kijamii;
• awe na uwezo wa kuandika habari;
• awe na uwezo wa kutumia program za kompyuta zinazosaidia ufanyaji kazi za habari. • awe mbunifu, mwaminifu, mchapakazi;
• uzoefu kuanzia miaka miwili utaongeza thamani.


Kiwango cha elimu:
• Awe amesoma uandishi wa habari kuanzia ngazi ya diploma na kuendelea, au kozi inayoendana kutoka chuo kinachokubalika na Mamlaka zinazosimamia elimu Tanzania.


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

Job application procedure
JINSI YA KUOMBA:
Muombaji atume Wasifu Wake (CV) na DEMO yake (hususan ya Video), kupitia barua pepe: [email protected]  
Demo – Unaweza kuirekodi hata kwa simu, kama hauna vifaa
Mwisho wa kupokea maombi: Agosti 10, 2020
*Wanawake wanahimizwa kuomba zaidi
Wasiliana nasi: +255 679 979 786, Ofisi zetu ziko Mikocheni B, Dar es Salaam.
Imetolewa na Uongozi wa Dar24 Media.
Agosti 3, 2020


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !