Msusi/natural hair/make up artist

Share and send to your friends !
Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam
Details
Description

Wafanyakazi wawili Wa salon.
Uzoefu
Wa kwanza:-
Awe na ujuzi mzuri wa kusuka mitindo mbali mbali za nywele kama rasta, passin twists, afro kinky,crotchet,knotless braids,yeboyebo,locs, butterfly locs n.k
Awe na ujuzi Wa kustyle nywele za natural na kusokota dreads.
Wa pili:-
Uwe na uzoefu na ujuzi Mkubwa sana Wa kutengeneza kucha.

Apply for this job
Contact via Phone

Muombaji awe anaishi morogoro road ili awe karibu na mahali pa kazi.

Show Application Instructions