Drivers Job at Ellen White School – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Transportation
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  28 September 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 18-09-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
Drivers

[ Type: FULL TIME , Industry: Education, and Training , Category: Transportation & Logistics ]

Jobs at:

Ellen White School

Deadline of this Job:
28 September 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Friday, September 18, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Ofisi ya Meneja wa shule ya Ellen White School Dodoma inapenda kuutangazia Umma kuwa, Shule imetoa nafasi za ajira kwa Walimu, Madereva, Wahasibu, Afisa Masoko na Makatibu Muhtasi kama ifuatavyo: .

Job Responsibilities: Not Specified


Job Skills: Not Specified


MADEREVA
Qualifications
• Kuajiri wenye cheti cha kidato cha Nne (Form IV) na leseni Daraja C2, C1 na C ya uendeshaji magari ambayo imefanyiwa kazi kwa muda usiopungua miaka miwili bila kusababisha ajali.
• Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo VETA/NIT au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
• Waombaji wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II watafikiriwa kwanza.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

Job application procedure
MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE
• Waombaji wote wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 45
• Waombaji wote waambatanishe vivuli vya cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha NIDA
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
• Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne au sita
• Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa hivi karibuni.
• Maombi yote yaandikwe kwa Lugha ya kiingereza.

N.B: Atakaewasilisha “Statement of Result” au “Progressive Report” maombi yake hayatazingatiwa.
Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:- MENEJA WA SHULE SHULE YA ELLEN WHITE
S.L.P 3118 DODOMA.
Tarehe ya Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 28 Septemba, 2020 muda wa saa za kazi.


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !