Vacancy title:
Afisa Mikopo
Jobs at:
Nyumba SACCOS LTD
Deadline of this Job:
02 January 2021
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa
Summary
Date Posted:
Monday, December 21, 2020
, Base Salary:
Not Disclosed
JOB DETAILS:
Nyumba SACCOS LTD is the Savings and Credit society situated opposite National Stadium along Mandela Road.
Afisa Mikopo -NAFASI .
SIFA ZA AFISA MIKOPO
• Awe na shahada ya uhasibu, ushirika na masoko na usimamizi wa fedha kutoka
• vyuo vinavyotambuliwa na serikali.
• Cheti cha umahiri wa uhasibu watapewa kipaumbele
• Uzoefu wa kufanya kazi kwenye vyama vya ushirika wa Akiba na Mikopo
• Awe anajua kutumia Kompyuta.
• Awe Mtanzania.
• Awe na umri wa miaka 25 hadi 40
Job Skills: Not Specified
KAZI
• Kutunza na kutoa fomu za maombi ya mikopo
• Kupitia fomu za maombi ya mikopo kama zimekidhi vigezo
• Kuwasilisha mikopo pamoja na fomu za maombi ya mikopo ya maendeleo, na elimu kwenye kikao cha kamati ya mikopo Kuandaa orodha ya mikopo iliyo kuzaliwa kwa kujaza fomu ya maombi ya mko po na kukabidhi kwa Mhasibu kwa ajili ya malipo.
• Kupokea dhamana za mikopo na kuziwasilisha kwa Meneja tayari kwa ushauri na uhakiki kama ni halisi. Vandan wilson in Iramati ya miliona
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
Work Hours: 8
Job application procedure
To apply, please send your application to
[email protected]
address Chairman, Nyumba SACCOS Ltd, P.O.Box 45674 Dar es Salaam. The deadline for submitting the application is 02nd January, 2020.