3 Energy Engineering Engineers (Experienced) Job at Laodicean Steel and Plastics Factory – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Engineering
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  15 November 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 11-11-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
3 Energy Engineering Engineers (Experienced)

[ Type: FULL TIME , Industry: Manufacturing , Category: Science & Engineering ]

Jobs at:

Laodicean Steel and Plastics Factory

Deadline of this Job:
15 November 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Mkuranga , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, November 11, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
NAFASI ZA KAZI KATIKA KIWANDA KIKUBWA CHA CHUMA NA PLASTIKI
Kiwanda cha Lodhia cha Chuma na Plastiki, kilichopo kisemvule Mkuranga kinakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa katika nafasi zifuatazo. Hii ni fursa ya kipekee kwa Vijana wenye ndoto ya kufanya kazi na kupata ujuzi sahihi wa uendeshaji mitambo ya kisasa katika viwanda ya chuma .

MHANDISI WA UMEME NA MITAMBO (AWE NA UZOEFU)-NAFASI TATU
• Wahitimu wa uhandisi wa Umeme wenye kiwango cha chini cha shahada ya kwanza
• Ufaulu mzuri wa masomo ya uhandisi
Uzoefu wa miaka 3 mpaka 5 kazini.
• Uzoefu wa moja kwa moja katika shughuli za uzalishaji kwenye viwanda vikubwa. (Uzoefu katika viwanda vya chuma ni faida kwa muombaji)
• Sharti awe na utayari wa kufanya kazi zamu ya mchana au usiku Uzoefu katika vifaa vya umeme vya kisasa, Mawasiliano na PLC


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA JUMLA KWA WOTE:
• Muombaji awe Mtanzania
• Muda wa mafunzo kwa vitendo hautahesabika kama Uzoefu
• Muaminifu
• Mchapa kazi
• Anayefundishika haraka
• Mtizamo chanya wa mambo


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

Job application procedure
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI: Tuma CV, barua ya nafasi unayomba, vyeti vyako vya Elimu kwa anuani ya barua pepe ifuatayo. [email protected] 

Au
Tuma CV, Barua ya nafasi unayoomba, vyeti
vyako kwa anuani ya Lodhia Steel Industries Ltd S.
L.P 75778,
Dar es Salaam-Tanzania.

ZINGATIA: Ukitumia barua pepe usitume tena kwa sanduku la posta. Endapo utatuma kwa barua pepe na Sanduku la barua maombi yako hayatashulikiwa.

MUHIMU: Kichwa cha habari cha barua pepe kisomeke nafasi unayomba kwa usahihi bila kukosea Mfano. MHANDISI UMEME NA MITAMBO (WALIOHITIMU MWAKA HUU). MWISHO WA KUTUMA: Tutapokea maombi ya kazi mwisho tarehe 15/11/2020.

ZINGATIA: Tutawasiliana na waombaji watakaotimiza vigezo vya nafasi anayoomba na watakaofua – ta maelekezo ya kuomba nafasi husika kwa usahihi. Hii ni sifa kuu ya kwanza kufuata maelekezo kwa usahihi.


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Job Position:  ENVIRONMENTAL ENGINEER   Job Description Qualification required: Bachelor’s Degree in environmental engineering or equivalent. Minimum experience: Minimum of 5-10 years’ experience (at least 3 on site) in function…