Vacancy title:
2 Mechanical Engineer (Expert Expert Engineers)
Jobs at:
Laodicean Steel and Plastics Factory
Deadline of this Job:
15 November 2020
Within Tanzania , Mkuranga , East Africa
Summary
Date Posted:
Wednesday, November 11, 2020
, Base Salary:
Not Disclosed
JOB DETAILS:
NAFASI ZA KAZI KATIKA KIWANDA KIKUBWA CHA CHUMA NA PLASTIKI
Kiwanda cha Lodhia cha Chuma na Plastiki, kilichopo kisemvule Mkuranga kinakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa katika nafasi zifuatazo. Hii ni fursa ya kipekee kwa Vijana wenye ndoto ya kufanya kazi na kupata ujuzi sahihi wa uendeshaji mitambo ya kisasa katika viwanda ya chuma .
MHANDISI MITAMBO (WAHANDISI MZOEFU DARAJA LA JUU-NAFASI MBILI
• Mhitimu uhandisi mwenye shahada ya kwanza au Zaidi
• Awe na msingi mzuri kielimu
• Uzoefu wa zaidi ya miaka mitano (5) kwenye kiwanda chochote kikubwa cha uzalishaji (Viwanda vya chuma ni bora zaidi)
• Uzoefu wa kadi ya kiotomatiki. Lazima awe na ujuzi mzuri katika ubunifu na uwezo wa kuelewa michoro ya kiuhandisi.
• Lazima awe na uwezo wa kubuni michoro ya sehemu/shughuli yoyote ya kiuhandisi mitambo.
• Ujuzi wa mitambo maji maji, Nyumatiki, Ubadilishaji gia , Gia boksi, beringi na kadhalika
• Lazima awe na Uzoefu wa kiutendaji kwa vitendo.
• Sharti awe tayari kufanya kazi kwa zamu mchana na usiku
Job Skills: Not Specified
SIFA ZA JUMLA KWA WOTE:
• Muombaji awe Mtanzania
• Muda wa mafunzo kwa vitendo hautahesabika kama Uzoefu
• Muaminifu
• Mchapa kazi
• Anayefundishika haraka
• Mtizamo chanya wa mambo
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
Work Hours: 8
Job application procedure
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI: Tuma CV, barua ya nafasi unayomba, vyeti vyako vya Elimu kwa anuani ya barua pepe ifuatayo.
[email protected]
Au
Tuma CV, Barua ya nafasi unayoomba, vyeti
vyako kwa anuani ya Lodhia Steel Industries Ltd S.
L.P 75778,
Dar es Salaam-Tanzania.
ZINGATIA: Ukitumia barua pepe usitume tena kwa sanduku la posta. Endapo utatuma kwa barua pepe na Sanduku la barua maombi yako hayatashulikiwa.
MUHIMU: Kichwa cha habari cha barua pepe kisomeke nafasi unayomba kwa usahihi bila kukosea Mfano. MHANDISI UMEME NA MITAMBO (WALIOHITIMU MWAKA HUU). MWISHO WA KUTUMA: Tutapokea maombi ya kazi mwisho tarehe 15/11/2020.
ZINGATIA: Tutawasiliana na waombaji watakaotimiza vigezo vya nafasi anayoomba na watakaofua – ta maelekezo ya kuomba nafasi husika kwa usahihi. Hii ni sifa kuu ya kwanza kufuata maelekezo kwa usahihi.