Vacancy title:
1000 project agents
Jobs at:
Walkers International
Deadline of this Job:
18 December 2020
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa
Summary
Date Posted:
Tuesday, December 15, 2020
, Base Salary:
Not Disclosed
JOB DETAILS:
Shirika la The Walkers International wanayo furaha ya kutangaza fursa za ajira za muda 1000 kwa kila mkoa kwa wahitimu wote wa ngazi ya shahada na stashahada watakao hudumu kama mawakala wetu wa mradi wa uandaaji, usambazaji na uandikishaji wa vitabu na madaftari kote nchini. .
MAJUKUMU YA WAKALA
• Kuandikisha wanufaika wa mradi huu (wanafunzi)
• Kupeleka vitabu na madaftari katika shule au kituo alichopangiwa
• Kujaza taarifa sahihi za mzazi wa mwanafunzi anayempatia daftari na kitabu
• Kila kituo kitakua na mawakala wawili kama wakala mkuu na wakala msaidisdizi, kazi za wakala msaidizi itakua ni kusaidiana kimajukumu na wakala mkuu.
Job Skills: Not Specified
SIFA ZA MUOMBAJI
• Awe na umri wa kuanzia miaka 23 hadi miaka 40.
• Awe mtanzania
• Awe na elimu ya shahada au stashahada kutoka chuo kinachotambulika na serikali.
• Awe anajua Kiswahili na kingereza kwa ufasaha
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
Work Hours: 8
Job application procedure
Malipo yatakua Tshs 50,000/= kwa siku ambapo wakala atahudumu kwa siku nne mfululizo. Mwisho wa maombi itakua tar 18/12/2020 na maombi yote yafanyikie kupitia tovuti yetu ya
http://www.thewalkersinternational.site