Dereva Nafasi 25

Share and send to your friends !
Kinondoni, Magomeni Dar Es Salaam
Details
Description

Hujambo Dereva?!

Habari njema kwako wewe dereva, kampuni ya E.A.T Engineering Co Ltd inahitaji madereva wenye sifa na madaraja ya C1, C2, C3. (Kama umewahi endesha Uber ama Bolt usijisumbue kuomba)

una sifa hizo basi karibu tutumie maombi kwenye email ya afisa mwajiri "[email protected]" ukiambatanisha picha ya leseni yako ,passport size picha yako pamoja na picha ya kitambulisho cha mpiga kura .
Simu wala sms hazitojibiwa.

Kila la heri

Apply for this job

Maombi tuma kwa email tu usipige simu wala kutuma ujumbe kwa sms. nafasi za kazi ni bure, asiwepo wa kusema apate pesa ili kusupport toa taarifa kwa meneja kupitia email hiyo hapo kwa dalili yeyote ya rushwa

You need an account to contact this user. Please
Kinondoni, Oysterbay Dar Es Salaam Details Description We are looking for a Java Application Developer with experience in building high-performing, scalable, enterprise-grade applications. Such developer will be part of a…