2 Afisa Ugani (Leaf Man) Job at Wetcu 2018 Ltd Co-operative Association – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Technicians
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  05 November 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 26-10-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
2 Afisa Ugani (Leaf Man)

[ Type: FULL TIME , Industry: Business Management and Administration , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Wetcu 2018 Ltd Co-operative Association

Deadline of this Job:
05 November 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Tabora , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, October 26, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Chama Kikuu Cha Ushirika Wetcu 2018 Ltd Chenye Makao Makuu Yake Mjini Tabora Manispaa Kinatangaza Nafasi Za Kazi Zifuatazo; .

Sifa za Kitaaluma
Awe na Cheti au Stashahada ya Sayansi ya kilimo (Agriculture general), kutoka chuo cha kilimo kinachotambuliwa na serikali, awe na uzoefu usiopungua miaka 3 kazini katika shughuli zihusuzo kutoa elimu ugani kwa wakulima hususani zao la tumbaku katika masuala ya Ushirika.


Job Skills: Not Specified


Kazi na Majukumu
• Kupanga na kutoa tathimini ya maendeleo ya wakulima wa vyama vya Msingi vya WETCU 2018 LTD.
• Kutoa ushauri kwa wakulima katika vyama vya msingi juu ya namna bora ya kulima kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo.
• Kubuni mbinu bora za kuwafikia wakulima wote ili kuwawezesha kulima kwa tija na kupata mazao bora.
• Kusimamia masoko ya tumbaku katika vituo tumbaku inakouziwa.
• Kushauri namna bora ya usambazaji wa pembejeo kwa wakulima ili kufikia malengo yaliyokusudiwa.
• Kuhamasisha na kushauri wakulima ili kulima kwa kuzingatia kanuni bora za uzalishaji.
• Kuendesha mafunzo kwa mifano ya mashamba darasa juu ya kilimo bora kwa wakulima katika vyama vya msingi.
• Kutoa taarifa kwa wakati juu ya shughuli za uzalishaji na uendeshaji wa masoko kwa Meneja Shughuli na vifaa kwa hatua zaidi.
• Kutekeleza na kushiriki katika kupanga na kuridhia Makubaliano ya kiutendaji yenye taarifa za moja kwa moja.
• Kutekeleza kazi au majukumu mengine kama itakavyoelekezwa na Meneja shughuli


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

Job application procedure
MUHIMU :
Mshahara kwa nafasi zote za kazi utazingatia Ngazi za Chama Kikuu cha Ushirika WETCU 2018 LTD.

Tuma maombi yakiambatana na vyeti vya shule, taaluma na Maelezo binafsi, maombi yatumwe ndani ya siku kumi na nne (14), tangu kutolewa kwa tangazo hili.
MENEJA MKUU
WETCU 2018 LTD
S. L. P 64
TABORA
Email / barua pepe : [email protected]  


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Other District Other Location Details Description Location: Kyela district, Mbeya, Tanzania Reports to: Project coordinator Role Type: Fixed Term (Annual – Renewable based on successful performance) Hours of Work: Full…
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam Details Description Salary Currency: Tanzanian Shilling 1. TAX INTERNS Portfolio Business Consultants is a professional services office offering, tax and advisory services….