Mtendaji Wa Mtaa III Job at Kasulu Town Council – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Government
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  26 November 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 17-11-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
Mtendaji Wa Mtaa III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Kasulu Town Council

Deadline of this Job:
26 November 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, November 17, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Halmashauri Ya Mji Kasulu
KUMB NA.KSTC/S.1/20/52
12/11/2020
Tangazo la nafasi za kazi. Mkurugenzi wa halmashauri ya mji kasulu anapenda kuwatangazia wananchi wote wenye sifa za kuomba nafasi za kazi zifuatazo: .

Sifa za Mwombaji.
• Cheti cha Kidato cha IV au VI
• Aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na sayansi ya sanaa kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo-Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.


Job Skills: Not Specified


Kazi za Kufanya:
• Mratibu na Mtekelezaji wa sera na sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa.
• Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu mipango ya Maendeleo katika Mtaa.
• Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama.
• Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umaskini katika Mtaa.
• Kusimamia Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote.
• Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote wa Mtaa.
• Kusimamia utungaji na utekelezaji wa sheria ndogo ndogo za mitaa.
• Na atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
• Kutekeleza majukumu mengine halali kadri atakavyopangiwa na Mwajiri wake.


Job Education Requirements: Not Specified


MSHAHARA. Kwa kuzingatia ngazi ya Mshahara kwa watumishi wa Umma TGSB, kwa mwezi Masharti ya kazi. Kazi ina masharti ya kudumu na malipo ya uzeeni.


Work Hours: 8

 

Job application procedure
MAELEKEZO YA JUMLA NA UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI:
• Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania na wenye umri kati ya miaka 18 – 45.
• Wawe hawajawahi kuajiriwa serikalini.
• Barua za maombi ziambatishwe na nakala za vyeti vya Elimu, Taaluma, Cheti cha
• Kuzaliwa na Picha mbili (2) za rangi (Passport size) za hivi karibuni. Pamoja na maelezo binafsi (CV).
• Testmonials, "Provisonal Results" Statement of Results" hati za matokeo za kidato cha Nne na sita (Form IV and Form VI Results Slips) HAVITAKUBALIWA.
• Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka
• Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA/NACTE)

Namna ya kuwasilisha maombi: Barua ya maombi iandikwe kwa mkono.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 26/11/2020 saa 9:30 Alasiri

Maombi yote yatumwe kwa Anuani ifuatayo:
Mkurugenzi wa Mji,
Halmashauri ya Mji,
S.L.P 475
KASULU.


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Minimum Education: Bachelor's Degree Required Experience: At least 3 years Job Purpose To handle all trade finance related functions for the bank Job Qulfiication/Experience A degree in banking, Commerce, Business…