Msaidizi wa Ofisi Job at Dar Es Salaam City Council – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Government
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  16 November 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 11-11-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
Msaidizi wa Ofisi

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Dar Es Salaam City Council

Deadline of this Job:
13 November 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, November 11, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Tangazo La Nafasi Za Kazi Ya Kukusanya Ushuru Wa Maegesho Ya Magari Pamoja Na Vyooni Katika Eneo La Dcc Business Park (Machinga Complex)

Meneja wa DCC Business Park (Machinga Complex) anawatangazia wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wenye sifa, nafasi ya kazi za ………….
Kazi hii itakuwa ni ya Mkataba wa miezi mitatu na mshahara utalipwa kwa kuzingatia Sheria ya Ajira Cap. 300 "Wage Order" 2013 ambao utakuwa kuanzia Sh.150,000/= kwa mwezi. .

Job Responsibilities: Not Specified


Job Skills: Not Specified


Job Qualifications: Not Specified


Job Education Requirements: Not Specified


MAELEKEZO YA JUMLA
• Waombaji waambatishe vivuli vya vyeti vya taaluma zao pamoja na cheti cha kuzaliwa.
Kila barua ya muombaji iambatishwe na picha mbili ndogo (Passport size) iliyopigwa siku za karibuni, anuani kamili ya makazi pamoja na namba ya simu.
• Barua ya Maombi iambatishwe na:
Barua kutoka kwa wadhamini wawili ambao ni watumishi wa Serikali zikiwa na picha “Pass port size" ya hivi karibuni, Anuani kamili ya makazi, pamoja na namba zao za simu.
– Barua ya Utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa.
Wasifu (CV)
• Waombaji watakaokuwa "Shortlisted" watajulishwa kwa njia ya simu tarehe ya usaili.
• Barua ya maombi ya kazi iletwe kwa njia ya mkono katika Ofisi ya Meneja DCC Business Park (Machinga Complex) kuanzia tarehe ya tangazo hili au kwa njia ya posta kupitia anuani tajwa hapo chini kuanzia saa mbili kamili (2:00) asubuhi hadi saa 8:00 mchana. Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni tarehe 16 Novemba, 2020 saa 8:00 mchana.
• Barua zote za maombi zipelekwe kwa Meneja wa DCC Business Park (Machinga Complex)
• Kila mwombaji anapaswa kutaja nafasi ya kazi anayoomba juu ya bahasha ya maombi.


Work Hours: 8

 

Job application procedure
Maombi yatumwe kwa Anuani ifuatayo:
Meneja,
DCC Business Park,
S.L.P. 9084,
Barabara ya Lindi/Shaurimoyo

Tangazo hili pia linapatikana kwenye tovuti ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ambayo ni http://www.dcc.go.tz  

Sipora J.Liana
MKURUGENZI WA JIJI
HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Job Location: Arusha Minimum Education: Bachelor Degree Required Experience: At least 3+ years Job Purpose To drive the channels business in Arusha and Moshi by establishing new business portfolio, relationship…