Msaidizi Wa Maktaba II Job at Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Government
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  6th August 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 27-07-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
Msaidizi Wa Maktaba II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Public Service Recruitment Secretariat (PSRS)

Deadline of this Job:
15 August 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, July 27, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/ K/243 24, Julai, 2020 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi moja (01) kama ilivyoainishwa hapa chini.
Msaidizi Wa Maktaba II: .

Sifa Za Mwombaji
Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha IV ambao wamefaulu Mafunzo ya Wasaidizi wa Maktaba (Library Assistants Certificates Course) yanayotolewa na Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania au wenye Cheti kinacholingana na hicho kutoka kwenye Chuo kinachotambuliwa na Serikali.


Job Skills: Not Specified


Majukumu Ya Kazi
• Kuandikisha wasomaji;
• Kupanga vitabu katika rafu (shelves);
• Kuazimisha na kupokea vitabu vilivyoazimwa;
• Kukarabati vitabu vilivyochakaa; na
• Kufanya kazi nyingine atakazopangiw

Job Education Requirements: Not Specified


Mshahara
Kwa kuzingatia ngazi ya mshahara wa Ofisi ya Bunge PSS B


Work Hours: 8

 

Job application procedure
Masharti Ya Jumla Kwa Kazi Zote.
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
• Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
• Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao.
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu zinazopatikana pamoja na majina ya Wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
• Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
– Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
– Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
– Computer Certificate
– Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
– Picha moja “Passport size” ya hivi karibuni.
• Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU au NECTA).
• Waombaji wa nafasi za Ajira waliostaafishwa/kuachishwa kazi katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
• Waombaji kazi ambao tayari ni Waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria. • Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 06 Agosti,2020
• Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA
• Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; http://portal.ajira.go.tz/   (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’)


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Overview Position Location: Mbeya, Tanzania – With frequent travels to the Country Office in Zanzibar and various Field Programs Offices within the Country Terms of references, duties, and responsibilities :**…
Other Dodoma District Dodoma Details Description Good Neighbors is an international humanitarian development NGO founded in Korea in 1991. It was granted General Consultative Status from the United Nations Economic…