Msaidizi Wa Hesabu Daraja II Job at Momba District Council – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Government
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  17 November 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 10-11-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
Msaidizi Wa Hesabu Daraja II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Momba District Council

Deadline of this Job:
17 November 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, November 10, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mamba anawatangazia nafasi za kazi watanzania wote wenye sifa za kuajiriwa katika nafasi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la Ill na Msaidizi wa Hesabu daraja la II. Tangazo hili linatokana na Kibali cha Ajira mbadala kilichotolewa kwa barua yenye Kumb. Na: FA.170/571/01/84 ya tarehe 21 Septemba 2020, kutoka kwa Katibu Mkuu OR- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. .

KAZI/ MAJUKUMU
• Kuandika na kutunza "Register"zinazohusu shughuli za Uhasibu.
• Kutunza kumbukumbu za Hesabu,
• Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki.
• Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI;
• Awe amehitimu Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI).
• Awe amehitimu mafunzo katika ngazi ya Astashahada/Cheti katika Uhasibu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
• Awe na Cheti cha ATEC I kinachotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolinganana hizo zinazotambulika na NBAA.


Job Education Requirements: Not Specified


Mshahara; Ngazi ya Mshahara wa Serikali TGS B.


Work Hours: 8

 

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA
• Mwombaji awe raia wa Tanzania na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18.
• Mwombaji awe hajawahi kushitakiwa kwa kosa lolote la jinai.
• Waombaji waambatanishe nakala za vyeti vya taaluma, nakala ya cheti cha Kidato cha nne/sita vilivyothibitishwa na Hakimu au Wakili anayetambulika na Serikali.
• Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
• Waombaji wote waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed Curriculum Vitae) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini "referees" watatu (3) na picha mbili "passport size" za hivi karibuni (ziandikwe jina kwa nyuma).
• Testimonials, Provisional Results, Statement of Results, Hati za matokeo za kidato cha nne na sita (Form IV and VI Results Slips) na Transcript ambayo haikuambatanishwa na cheti havitakubaliwa.
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vinahakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (NECTA, NACTE na NBAA).
• Waombaji ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe nafasi hizi.
• Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma kwa sababu yoyote ile hawaruhusiwi kuomba nafasi hizi.
• Waombaji watakaowasilishaji vyeti, taarifa na sifa za kughushi watachukuliwa hatua za kisheria na mamlaka zinazohusika.
• Maombi yote yaandikwe kwa lug ha ya Kiswahili.
• 1Kwa waombaji wenye vyeti vya ngazi yaani NTA level 4, na level 6, maombi yao hayatafanyiwa kazi.
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni siku ya Jumatatu, tarehe 17 Novemba 2020, saa 09: 30 Alasiri.
• Maombi yote yatumwe kwa njia ya pasta kupitia anuani ifuatayo;

Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Momba,
S.L.P. 273,
TUNDUMA-MOMBA


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam Details Description Responsibilities: Formulate long and short term operational strategies. Contribute operations information and recommendations to strategic plans and reviews; prepare and…
  Eligible Applicants   This Job Opening is available to eligible UNHCR staff members and external applicants.   Procedures and Eligibility   Interested applicants should consult the Administrative Instruction on…