Mafundi (Local Pundis) Job at Rural Water Supply and Station Agency – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Government
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  10th August 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 04-08-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
Mafundi (Local Pundis)

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Rural Water Supply and Station Agency

Deadline of this Job:
10 August 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Arusha , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, August 04, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Tangazo La Nafasi Za Kazi
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya May kwa mwaka wa fedha 2020/2021 imetoa fedha kwa Wilaya ya Rorya kwa ajili ya Ujena na ukarabati wa miundombinu Maji kupitia Mfuko wa maj(IWF), mradi utakaotekelezwa kwa y a Force Akaunti Wakala wa MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI (RUWASA) Wilaya ya Rorya kwa lengo la kuwezesha huduma ya maji safi na salama kwa wananchi Mradi Utakaotekelezwa Ukarabati mradi wa mawa Vya Kyawame, Komuge, frien Kuruya, Bitiryo na Baraki sehemu ya I(Phase 1) Meneja wa RUWASA Wilaya ya Rorya anawatangazia nafasi za kazi kwa Mafundi (Local Pundis) wenye sifa stahiki watakaoweza kufanya kazi katika Mradi wa maji tajwa hapo juu .

NAFASI ZA KAZI.
• Fundi Mkuu (for Civil works and plumbing works) kwa ajili ya ukarabati wa mradi wa mali vuli wa Kyarwame, Komuje, fricovKuruya, Bitirya na Barakl Phase 1 (Lot I)- kwa ajili ya kazi zote za ura wa Dalm aj[Intake territory) zwanitazai bomba na ufunga wa bomba kwa njia ya fittings Inchi kavu na ziwani, Ukarabati wa tankl (ground tank) na Ujenzi wa choo
• Fundi Mkuu (for evil works and plumbing works) kwa ajili ya ukarabati wa mradi wa maji vi vya Kyarwane, Komige, Irenyl Kuruya, Bitiryo na Barak Phase 1 (Lot IT)- Kwa ya kazi zote za Ufunguaji wa bomba za zamani ziwani na Inchi kavu, za bomba na ufunga wa bomba kwa njia ya Fusion na fittings, Ukarabati wa tankl (ground tank)


Job Skills: Not Specified


SIFA
• Awe raia wa Tanzania (Aambatanishe vull cha kitambulisho cha taifa au kadi ya mpiga kura) wakati wa kutuma maombi
• Awe na umri usiopungua miaka 18
• Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitatu (3) na kuendelea wa kufanya kazi kwenye miradi Mabwa ya maji
• Awe na vitendea kazi wa kufanya kazi Ziwani na nchi kavu kwa kati ya bomba na Intake.
• Awe na vitendea kazi vya kufungua na kuunga/Kufunga bomba kubwa za GS, I kuva kazi ya bomba
• Awe amewahi kufanya ka husika katika miradi ya may ya Serikat Bu zinazotambulika
• Wenye uzoefu na elimu ya VETA na kuendelea watapewa kipaumbele
• Awe tayari kutekeleza kaa chini ya msimamizi wake wa kazi
• Awe na uwezo wa kusoma michoro na kuitafasiri kwenye eneo la ujenzi
• Awe ana akaunti benki yeyote inayotoa huduma za kifedha
• Awe na uwezo wa kifedha kwa ajili ya kuanza kazi kabla ya malipo ya awali
• Awe na vitendea kazi vyake vya ujenzi pamoja na kuchota maji wakati wa ujenzi
• Awe na uwezo wa kufanya kazi bila usimamia kwenye eneo kart


Job Education Requirements: Not Specified


ZINGATIO
Fundi ataruhusiwa kuomba kazi zaidi ya moja lakini hataruhusiwa kupewa (To be awarded) kazi zaidi ya moja.


Work Hours: 8

 

Job application procedure
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Mwomba afike ofisi ya RUWASA Wilaya ya Rona a ajili ya kuchukua fomu za nukuu za bei ya Ufundi na kujaza kwa bel ya ufundi wa kazinazotakiwa kufanyika na ambatanishe barua ya kuomba kazi kwa Meneja RUWASA Wilaya ya Rorya, S.L.P 318, Tarime. Mwombay arejeshe nukuu ya belikiwa imefungwa vera kwenye bahasha kwa anuani iliyooneshwa na juu ya bahasha aandike kati anayoomba.

MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10/08/2020 Saa 4:00 Asubuhi.


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Other District Other Location Details Description Job Title: Tenda Teacher Training Coordinator(Expected start end of December 2020) Job Description: Project Zawadi’s mission is to partner with communities, schools, and teachers…