Jobs

Bahi Dodoma
Details
Description

Dodoma

Apply for this job
Contact via Phone

Kwa jina naitwa asha salehe Juma, ni mkazi wa jiji la dodoma, nimeanza elimu ya msingi mwaka 2006 na nikamaliza2012, Kisha nikajiunga na elimu ya sekondari mwaka 2013 nikamaliza 2017 Katika mkoa wa Tanga, kisha nikajiunga na elimu ya chuo kwa ngazi ya stashahada kwa mwaka 2018.

Naomba kazi katika kampuni zenu, naahidi kufanya kazi kwa uaminifu na uadilifu,

ahsante nitafurahi endapo ombi langu litafanikiwa,

wako katika ujenzi wa taifa. Asha salehe juma

You need an account to apply to this job. Please .
Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Job Position:  LAND ACQUISITION COORDINATOR (INTERNATIONAL) TZ Job Description Qualification required: Degree in Social Science, Social Anthropology, Sociology, Environmental Management, Environmental Engineering or related discipline. Minimum experience: 15-20 years of…