Fundi Sanifu Mitambo (Mechanical) Job at Arusha City Council – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Government
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  18 December 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 14-12-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
Fundi Sanifu Mitambo (Mechanical)

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Science & Engineering ]

Jobs at:

Arusha City Council

Deadline of this Job:
18 December 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Arusha , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, December 14, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji anawatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Jiji la Arusha kutuma maombi ya kazi ya muda kwa Mkurugenzi wa Jiji ndani ya siku 14 kuanzia tarehe ya Tangazo hili. Nafasi hizi ni za muda wa miezi sita kwa kazi zilizopangwa na kuidhinishwa na Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2020/2021. .

Sifa zinazotakiwa
• Awe na mojawapo ya sifa zifuatazo:
• Elimu ya kidato cha VI na aliyefuzu mafunzo ya miaka miwili kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali katika fani ya mitambo (machanical).
• Elimu ya kidato cha IV na aliyefuzu mafunzo ya miaka mitatu kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali katika fani ya mitambo (mechanical
• Mwenye cheti cha majaribio ya ufundi hatua ya I kutoka chuo cha ufundi kinachotambuliwa na serikali.
• Mwenye stashahada ya kawaida katika fani zaufundi kutoka katika chuo kinachotambuliwa naserikali.


Job Skills: Not Specified


Kazi na Majukumu
• Kufanya ukaguzi wa ubora wa magari na kuyarekebisha ipasavyo.
• Kufanya kazi ya kutengeneza mitambo na magari.
• Kufanya upimaji wa mitambo kufuatana na maelekezo ya mhandisi.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

Job application procedure
MAELEZO YA JUMLA
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na Mwenye akili timamu.
• Waombaji wawe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45.
• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya Elimu/taaluma, cheti cha kuzaliwa na maelezo binafsi (CV).
• Mshahara utakuwa wa makubaliano kwa kuzingatia bajeti.
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 18/12/2020 saa 9:30 alasiri.
• Maombi yatakayotumwa kwa mkono hayatapokelewa.
• Waombaji wenye uzoefu wa kazi watapewa kipaumbele.

Maombi yatumwe kwa anuani ifuatayo:
Mkurugenzi,
Halmashauri ya Jiji la Arusha
S.L.P. 3013, Arusha.


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Overview Good Neighbors is an international humanitarian development NGO founded in Korea in 1991. It was granted General Consultative Status from the United Nations Economic and Social Council (UN ECOSOC)….