Afisa Wa Sheria (Legal Advisor) Job at Wetcu 2018 Ltd Co-operative Association – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Legal
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  05 November 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 26-10-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
Afisa Wa Sheria (Legal Advisor)

[ Type: FULL TIME , Industry: Business Management and Administration , Category: Legal ]

Jobs at:

Wetcu 2018 Ltd Co-operative Association

Deadline of this Job:
05 November 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Tabora , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, October 26, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Chama Kikuu Cha Ushirika Wetcu 2018 Ltd Chenye Makao Makuu Yake Mjini Tabora Manispaa Kinatangaza Nafasi Za Kazi Zifuatazo; .

Sifa za Kitaaluma
Shahada ya sheria kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali, awe na Uzoefu usiopungua miaka mitatu (3) katika masuala yahusuyo sheria katika mashauri ya jinai na madai katika taasisi binafsi na taaasisi za umma.


Job Skills: Not Specified


Kazi na Majukumu
Kazi na majukumu ya Afisa wa sheria yatakuwa kama ifuatavyyo:
• Kuhakikisha kuwa shughuli na uendeshwaji wa Bodi ya WETCU 2018 LTD havikinzani na matakwa ya sheria iliyoanziasha WETCU 2018 LTD.
• Kuikumbusha Bodi ya WETCU 2018 LTD kutenda kwa kuzingatia kama inavyotakiwa kufuata matakwa ya kisheria.
• Kuwa Mshauri Mkuu wa Meneja Mkuu katika masuala yote yahusuyo sheria na katika kuishauri Bodi na masuala yahusuyo Mkutano Mkuu.
• Kusimamia mashauri yote yanayoihusu WETCU 2018 LTD ikiwa ni pamoja na kuandaa au kufanya marejeo ya nyaraka zote za kisheria za WETCU 2018 LTD kama vile Mikataba ya pango, n.k. Kurejea taarifa za kaguzi za Menejimenti kwa wateja wakubwa na kuainisha kama kuna athari yoyote ya kisheria.
• Kufanyia marekebisho mahususi Masharti au sheria ndogondogo za WETCU 2018 LTD juu ya kanuni na mabadiliko ya mapendekezo ili yaende sambamba na mabadiliko ya mahitaji ya sheria ya Ushirika Namba 6 ya Mwaka 2013, na mazingira ya uendeshaji wa WETCU 2018 LTD.
• Kusimamia masuala ya kisheria na kumbukumbu, na nyaraka za kisheria za WETCU 2018 LTD.
• Kupokea na kuandaa taarifa ya kulipwa na malipo ya gharama za kesi katika mahakama.
• Kuaanda taarifa ya mwezi kuhusu mashauri yaliyofanyika.
• Kutekeleza na kushiriki katika kupanga na kuridhia Mikataba ya kiutendaji yenye taarifa za moja kwa moja.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

Job application procedure
MUHIMU :
Mshahara kwa nafasi zote za kazi utazingatia Ngazi za Chama Kikuu cha Ushirika WETCU 2018 LTD.

Tuma maombi yakiambatana na vyeti vya shule, taaluma na Maelezo binafsi, maombi yatumwe ndani ya siku kumi na nne (14), tangu kutolewa kwa tangazo hili.
MENEJA MKUU
WETCU 2018 LTD
S. L. P 64
TABORA
Email / barua pepe : [email protected]  


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !