Vacancy title:
Afisa Habari II
Jobs at:
Arusha City Council
Deadline of this Job:
18 December 2020
Within Tanzania , Arusha , East Africa
Summary
Date Posted:
Monday, December 14, 2020
, Base Salary:
Not Disclosed
JOB DETAILS:
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji anawatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Jiji la Arusha kutuma maombi ya kazi ya muda kwa Mkurugenzi wa Jiji ndani ya siku 14 kuanzia tarehe ya Tangazo hili. Nafasi hizi ni za muda wa miezi sita kwa kazi zilizopangwa na kuidhinishwa na Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2020/2021. .
Sifa zinazotakiwa
Awe na Shahada ya kwanza au stashahada ya juu ya uandishi wa habari au sifa inayolingana nayo kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali.
Job Skills: Not Specified
Kazi na Majukumu
• Kukusanya na kuandika habari
• Kupiga picha
• Kuandaa picha za maonyesho
• Kuandaa majarida vipeperushi na mabango n.k
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
Work Hours: 8
Job application procedure
MAELEZO YA JUMLA
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na Mwenye akili timamu.
• Waombaji wawe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45.
• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya Elimu/taaluma, cheti cha kuzaliwa na maelezo binafsi (CV).
• Mshahara utakuwa wa makubaliano kwa kuzingatia bajeti.
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 18/12/2020 saa 9:30 alasiri.
• Maombi yatakayotumwa kwa mkono hayatapokelewa.
• Waombaji wenye uzoefu wa kazi watapewa kipaumbele.
Maombi yatumwe kwa anuani ifuatayo:
Mkurugenzi,
Halmashauri ya Jiji la Arusha
S.L.P. 3013, Arusha.