587 Clerks Guide Voter Job at Maswa District Council – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Government
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  27 September 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 23-09-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
5587 Clerks Guide Voter

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Maswa District Council

Deadline of this Job:
27 September 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Maswa , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, September 23, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI
HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA
JIMBO LA MASWA MASHARIKI NA MASWA
MAGHARIBI
Kumb. Na.MDC/UCH/VOL.II/83
Tarehe 21/09/2020
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Maswa Mashariki na Maswa Magharibi kwa kuzingatia kafuni ya 14 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunga, za Mwaka 2020 na kanuni ya Jaya Kamrani za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Uchaguzi wa wadiyyani) za mwaka 2020, anakaribisha maqnitor Htoka wa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za Watendaji wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 kama ifuatavyo:
KARANI MWONGOZAJI WAPIGA KURA (NAFASI 558). .

Job Responsibilities: Not Specified


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA WAOMBAJI WA NAFASI ZA KARANI MWONGOZAJI WA WAPIGA KURA
• Awe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi;
• Awe mkazi wa kata ambayo atafanyia kazi ya kuongoza wapiga kura;
• Ikiwezekana awe mpiga kura wa kituo anachofanyia kazi;
• Awe mwadilifu, mtiifu na mwenye akili timamu;
• Awe na elimu isiyopungua kidato cha nne na anayeweza kusoma na kuyaelewa Maelekezo kwa Makarani Waongozaji Wapiga Kura; na
• Asiwe shabiki au kiongozi wa chama cha siasa.


Job Education Requirements: Not Specified


MALIPO
Malipo yatakuwa kama ifuatavyo:-
• Msimamizi wa Kituo siku ya Uchaguzi atalipwa posho ya Tzs. 35,000 kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Tzs. 15,000 kwa siku moja na nauli Tzs. 20,000;
• Msimamizi Msaidizi wa Kituo atalipwa posho ya Tzs. 30,000 kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Tzs 15,000 na nauli Tzs 20,000; na
• Karani Mwongozaji Wapiga Kura atalipwa posho ya Tzs. 30,000 kwa siku moja na posho ya chakulaTzs. 15,000.


Work Hours: 8

 

Job application procedure
MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi (Detailed C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) wawili.
• Maombi yote yaambatane na Vyeti vya taaluma, nakala za Vyeti vya Kidato cha Nne, Kidato cha Sita au kuhitimu mafunzo kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Tangazo hili.
• Waombaji waambatishe picha mbili ‘Passport size’ za hivi karibuni.
• Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao.
• Waombaji watakaowasilisha taarifa na sifa za kugushi watachukuliwa hatua za kisheria.
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 27 Septemba, 2020.
Anuani ya kutuma maombi ya kazi ni:
Msimamizi wa Uchaguzi,
Jimbo la Maswa
S. L. P 170
MASWA


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Job Title Country Finance Manager Organisation Levels mothers2mothers -> m2m Tanzania -> Operations Location Dodoma – Dodoma, TZ (Primary) Type of position Fixed Term Contract Education Degree Closing Date 4/12/2020…
Job Summary A procurement officer is a detail-oriented, thorough, and organized procurement officer to oversee purchases and develop new contracts. In this position, you will play a key role in…