5 Mtendaji wa Kijiji III Job at Tandahimba District Council – Career Opportunity in Tanzania

Share and send to your friends !
Overview
Job Category: Government
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  08 February 2021
Duty Station:  Tanzania
Posted: 28-01-2021
Requirements
Job Description

Vacancy title:
5 Mtendaji wa Kijiji III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Tandahimba District Council

Deadline of this Job:
08 February 2021  

Duty Station:
Within Tanzania , Tandahimba , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, January 28, 2021 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Tandahimba anawatangazia waombaji wote ya kazi kwa nafasi ziliyoainishwa hapa chini, baada ya kupata kibali cha ajira mbadala chenye Kumb. Na FA. 170/362/01/"A"/114 cha tarehe 15 Disemba 2020, kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu ajira mpya. Hivyo basi Mkurugenzi Mtendaji (W) Tandahimba anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa .

Sifa za Kitaaluma kwa Mwombaji
• Awe amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne au Sita.
• Awe amepata mafunzo ya stadi ya kazi ngazi ya cheti katika fani zifuatazo; Utawala, Sheria, Rasilimali watu, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya sanaa kutoka katika chuo cha cha Serikali za Mitaa Hombolo au vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.


Mshahara
Mtendaji wa Kijiji III ataanza na mshahara wa TGS B1 kwa mwezi, kulingana na viwango vya Serikali vya nafasi hiyo.


Majukumu ya Mtendaji wa Kijiji III
• Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji.
• Kusimamia Ulinzi na Usalama wa Raia na Mali zao, kuwa mlinzi wa
• amani na msimamizi wa utawala Bora katika Kijiji.
• Kusimamia na kuratibu upangaji na utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Jamii
• Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji.
• Kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu.
• Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umasikini, na kuongeza uzalishaji mali.
• Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya kitaalamu katika Kijiji.
• Kusimamia, Kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote za nyaraka za kijiji.
• Mwenyekiti wa kikao cha wataalamu waliopo katika kijiji.
• Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi.
• Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Education Experience: Not Specified


Work Hours: 8

 

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA YA MWOMBAJI WA NAFASI ZA KAZI
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe na miaka kuanzia 18 hadi 45.
• Mwombaji mwenye cheti cha kughushi asijaribu kuomba nafasi hizi, endapo atabainika hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
• Awe hajawahi kufukuzwa kazi, kupunguzwa, kuachishwa kazi au kustaafishwa kazi katika Utumishi wa Umma.
• Awe tayari kufanya kazi katika kijiji chochote kile ndani ya Halmashauri ya Wilaya Tandahimba.
• Waombaji waambatanishe vivuli vya vyeti vyao vya shule, taaluma, kuzaliwa. • Curriculum Vitae (CV)
• Taarifa binafsi za mwombaji
• Kila mwombaji aambatanishe na picha ndogo 2 passport size zilizopigwa hivi karibuni.
• Kila mwombaji aandike kwa usahihi anwani yake, na namba ya simu inayopatikana muda wote.
NUKUU: Maombi yote yatumwe kwa;
Mkurugenzi Mtendaji (W),
S.L.P. 03,
TANDAHIMBA - MTWARA.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 08 Feburari, 2021 saa 9.30 Alasiri.


Human Resources Assistant Job brief We are looking for an HR Assistant to handle a variety of personnel related administrative duties. You will provide information and clerical support to General…
Administrative Assistant    Dear Prospective Offerors/Applicants: The United States Government, represented by the U.S. Agency for International Development (USAID), is seeking offers from qualified persons to provide personal services under…
VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB)  formerly known as SEDA is a fast growing and reputable Micro Finance Bank (MFB), has a loan book of TZs. 17 billion and…