5 Mama Msaidizi wa SOS Job at SOS Children’s Vilages Zanzibar – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Type: Full-Time
Job Category: Administrative
Posted: 07-07-2020
Deadline of this Job:  16 July 2020
Duty Station:  Tanzania
Requirements
Job Description

Vacancy title:
5 Mama Msaidizi wa SOS

[ Type: FULL TIME , Industry: Nonprofit, and NGO , Category: Management ]

Jobs at:

SOS Children's Vilages Zanzibar

Deadline of this Job:
16 July 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Zanzibar , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, July 07, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
SOS Children's Vilages Zanzibar is Local Non-Government Organization (NGO) affiliated to SOS Children's Villages International, a worldwide child care organization that work to protect and care for children who have lost parental care, or who stand at risk of losing it. Established 64 years ago, SOS Children's Villages International currently has Children's Villages and other projects in 135 countries around the world. Globally, it runs two major programmes i.e. Family Based Care based at SOS Children's Villages and Family Strengthening Programmes supporting families in local communities. SOS has been working in the United Republic of Tanzania since 1991, and runs Children's Villages and other projects in Tanzania, the organisation runs four Children's Villages in Arusha, Dar es Salaam, Mwanza and Zanzibar and other programmes in Pemba, Iringa and Mufindi. .

Kituo cha Kazi: SOS Children's Village Zanzibar
Anaripoti : Mratibu wa Malezi Mbadala
Majukumu ya kazi ya Mama Msaidizi.
• Kuhakikisha ustawi wa mtoto kupitia malezi
• Usimamizi stadi wa nyumba yake na shughuli muhimu ndani ya nyumba
• Kuwajengea fursa watoto kuwa huru zaidi na kuwajibika.
• Kuwalinda watoto dhidi ya unyanyasaji wa aina yoyote
• Kuendeleza familia kwa upendo, ulinzi, uaminifu na usalama kwa wototo atakaokabidhiwa kwa muda wote. Kumjenga mtoto katika familia na kumsaidia kiafya, kimwil
• kiakili, kijamii kiutamaduni na ustawi wa kiroho wa kila mtoto.
• Kuwajengea uwezo wa kujitegemea na watoto wanaowajibik
• kwa jamii husika
Sifa za Muombaji
• Awe na umri kati ya miaka 33 na 40.
• Awe na elimu si chini ya Sekondari

Job Skills: Not Specified


Required Qualifications And Competencies….
• Minimum Education Bachelor degree in either Project Management, Statistics, Economics and/or Development studies;
• 3 years solid experience in M & E with a Non-Governmental Organization
• Experience in Strategic Planning with good background of reporting writing shared to donors, sponsors and other key stakeholders.
• Strong communication skills (Fluent in written and spoken in English
• Ability to present information in logical and convincing manner:
• Ability to engage and negotiate, etc).
• Computer literacy especially competence in MS Excel and Statistical packages of database
Kazi Kituo cha Kazi:
Anaripoti Mama Msaidizi wa SOS (5) Sos Children's Village Zanzibar Mratibu wa Malezi Mbadala
Majukumu ya kazi ya Mama Msaidizi.
• Kuhakikisha ustawi wa mtoto kupitia malezi · Usimamizi stadi wa nyumba yake na shughuli muhimu ndani ya nyumba
• Kuwajengea fursa watoto kuwa huru zaidi na kuwajibika. Kuwalinda watoto dhidi ya unyanyasaji wa aina yoyote Kuendeleza familia kwa upendo, ulinzi, uaminifu na usalama kwa wototo atakaokabidhiwa kwa muda wote.:
• Kumjenga mtoto katika familia na kumsaidia kiafya, kimwili, kiakili, kijamii kiutamaduni na ustawi wa kiroho wa kila mtoto. Kuwajengea uwezo wa kujitegemea na watoto wanaowajibika kwa jamii husika Sifa za Muombaji
• Awe na umri kati ya miaka 33 na 40.
• Awe na elimu si chini ya Sekondari
• Asiwe na majukumu makubwa ya kifamilia na asiwe na watoto wenye umri chini ya miaka 12
• Awe yuko tayari kuishi katika Kijiji cha SOS kama mama wa watoto wanaohitaji malezi.
• Uwezo wa kuongea kwa lugha ya Kiingereza ni sifa ya ziada.
• Kama hana cheti cha sekondari awe na cheti chochote cha malezi ya watoto au barua yoyote ambayo inamthibitisha kuwa amekuwa akijihusisha na malezi ya watoto wanaofanana na hawa. Mama aliyemaliza kidato cha nne atapatiwa kipaumbele

Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

Job application procedure
  If you are interested to be part of this dynamic team and become a change agent then send your CV and letter of motivation to
The Human Resources Department SOS Children's Villages Zanzibar
P. O. Box 1923 Unguja, Zanzibar
All application should reach us on or before 16th July 2020.
SOS Children's Villages Zanzibar is an equal opportunity employer. Only short-listed candidates will be contacted


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Other Arusha District Arusha Details Description Majukumu: 1. Kufika eneo la kazi kwa wakati na kufanya makabidhiano ya lindo kwa usahihi. 2. Kufika eneo la kazi kwa mujibu wa ratiba…
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam Details Description · Develop and execute the company’s business strategies in order to attain the goals of the board and shareholders ·…
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam Details Description These responsibilities involve achieving the following tasks: Implementing and revising a company’s compensation program Creating and revising job descriptions Conducting…