4 Mtendaji Wa Kijiji III Job at Newala District Council – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Government
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  26 November 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 17-11-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
4 Mtendaji Wa Kijiji III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Newala District Council

Deadline of this Job:
26 November 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, November 17, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala amepokea Kibali cha Ajira Mbadala toka kwa Katibu Mkuu OR – Utumishi chenye Kumb. Na. FA.170/362/01A754 cha tarehe 8/10/2020, hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi kama ifuatavyo: .

SIFA ZA MWOMBAJI
• Mwombaji awe raia wa Tanzania.
• Mwombaji awe na akili timamu.
• Awe amehitimu elimu ya kidato cha Nne au Sita.
• Awe amehitimu Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo;
• Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo – Dodoma au chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.


KAZI ZA KUFANYA
• Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa serikali ya kijiji;
• Kusimamia Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji:
• Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji;
• Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji;
• Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu;
• Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijiji;
• Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbumbu zote na nyaraka za Kijiji;
• Kusimamia ugatuaji wa Sheria Ndogo za Kijiji na
Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.


NGAZI YA MSHAHARA
Atakayefaulu usajili na kuajiriwa atalipwa mshahara ngazi ya TGS B, kwa mwezi.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

Job application procedure
TARATIBU ZA KUTUMA MAOMBI
• Barua ya maombi iandikwe kwa mkono na iambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma na CV (Curriculum Vitae), cheti cha kuzaliwa na picha moja ya passport size ya hivi karibuni.
• Barua iandikwe namba za simu za mwombaji za kiganjani.
• Mwombaji awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45
• Kwa walioajiriwa maombi yapitishwe na Waajiri wao wa sasa.
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 26/11/2020 saa 9: 30 Alasiri siku ya Alhamisi.
• Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.

Barua za maombi ya kazi zitumwe kwa anuani ifuatayo:
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Newala,
Sanduku la Posta 16,
NEWALA.


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Job Position:  LIVELIHOODS RESTORATION COORDINATOR Job Description Qualification required: Degree in Social Science, Anthropology, Environmental Science/Management, Environmental Engineering or related discipline. Minimum experience: 15-20 years of professional experience in working…
ITM TANZANIA LTD is hiring  POSITION: HU M AN RESOURCES MANAGER  Qualification required: Bachelor's degree in Human Resources  Experience:  Minimum 2-3 years of hands-on experience in managing a large security…