384 Supervisors of the Polling Station Job at Kyela District Council – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Government
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  27 September 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 23-09-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
384 Supervisors of the Polling Station

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Kyela District Council

Deadline of this Job:
27 September 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Kyela , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, September 23, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI
HALMASHAURI YA WILAYA YA KYELA
JIMBO LA UCHAGUZI LA KYELA
Tarehe 21.09.2020
Kumb Na KDC/U.4/2/106
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kyela kwa kuzingatia Kanuni ya 14 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge za Mwaka 2020 na kanuni ya 12 ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Uchaguzi wa Madiwani za mwaka 2020, anakaribisha maombi ya kani kutoka kwa Watanzania wenye sifa na Uwezo wa kujaza nafasi za Watendaji wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 kama ifuatavyo;
MSIMAMIZI WA KITUO CHA KUPIGIA KURA NAFASI – (384) .

Job Responsibilities: Not Specified


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA WAOMBAJI WA NAFASI YA MSIMAMIZI AU MSIMAMIZI MSAIDIZI WA KITUO CHA KUPIGIA KURA
• Awe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi;
• Asiwe shabiki au kiongozi wa chama cha siasa;
• Awe mwadilifu, mtiifu na mwenye akili timamu;
• Awe amemaliza elimu ya kidato cha nne (4) au zaidi na anaweza kusoma na kuandika vizuri. Pia, anayeweza kuyaelewa Maelekezo ya Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura; na
• Ikiwezekana awe mkazi wa kata ambayo anaomba.


Job Education Requirements: Not Specified


MALIPO
Malipo yatakuwa kama ifuatavyo:-
• Msimamizi wa Kituo siku ya Uchaguzi atalipwa posho ya Tzs. 35,000 kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Tzs. 15,000 kwa siku moja na nauli Tzs. 20,000;
• Msimamizi Msaidizi wa Kituo atalipwa posho ya Tzs. 30,000 kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Tzs 15,000 na nauli Tzs 20,000; na
• Karani Mwongozaji Wapiga Kura atalipwa posho ya Tzs. 30,000 kwa siku moja na posho ya chakulaTzs. 15,000.


Work Hours: 8

 

Job application procedure
MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi (Detailed C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) wawili.
• Maombi yote yaambatane na Vyeti vya taaluma, nakala za Vyeti vya Kidato cha Nne, Kidato cha Sita au kuhitimu mafunzo kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Tangazo hili.
• Waombaji waambatishe picha mbili ‘Passport size’ za hivi karibuni.
• Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao.
• Waombaji watakaowasilisha taarifa na sifa za kugushi watachukuliwa hatua za kisheria.
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 27 Septemba, 2020.
Anuani ya kutuma maombi ya kazi ni;
Msimamizi wa Uchaguzi,
Jimbo la Uchaguzi la Kyela,
S.L.P 320,
Kyela.


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam Details Description VERTRAGSLEHRKRAFT am Goethe-Institut Tansania Beschäftigungsumfang 100% Unbefristeter Vertrag: Vergütung gemäß örtlichem Vergütungsschema Das Goethe-Institut ist das weltweit tätige Kulturinstitut der…
Job Description CARE is a leading humanitarian organization dedicated to fighting poverty and social injustice with a special emphasis on women and girls.  CARE Tanzania is part of CARE International,…