271 Karani Mwongozaji Wapiga Kura Job at Njombe District Council – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Government
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  27 September 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 24-09-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
271 Karani Mwongozaji Wapiga Kura

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Njombe District Council

Deadline of this Job:
27 September 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, September 24, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI
HALMASHAURI YA MJI NJOMBE
JIMBO LA NJOMBE MJINI
Tarehe 21 Septemba, 2020
Kumb. Na. NTC/U:G/CU/30/01/65

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Njombe Mjini kwa kuzingatia kanuni ya 14 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge za Mwaka 2020 na kanuni ya 12 ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Uchaguzi wa Madiwani) za mwaka 2020, anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za Watendaji wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 kama ifuatavyo: .

Job Responsibilities: Not Specified


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA WAOMBAJI WA NAFASI ZA KARANI MWONGOZAJI WA WAPIGA KURA
• Awe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi;
• Awe mkazi wa kata ambayo atafanyia kazi ya kuongoza wapiga kura;
• Ikiwezekana awe mpiga kura wa kituo anachofanyia kazi;
• Awe mwadilifu, mtiifu na mwenye akili timamu;
• Awe na elimu isiyopungua kidato cha nne na anayeweza kusoma na kuyaelewa Maelekezo kwa Makarani Waongozaji Wapiga Kura; na
• Asiwe shabiki au kiongozi wa chama cha siasa.


Job Education Requirements: Not Specified


MALIPO
Malipo yatakuwa kama ifuatavyo:-
• Msimamizi wa Kituo siku ya Uchaguzi atalipwa posho ya Tzs. 35,000 kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Tzs. 15,000 kwa siku moja na nauli Tzs. 20,000;
• Msimamizi Msaidizi wa Kituo atalipwa posho ya Tzs. 30,000 kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Tzs 15,000 na nauli Tzs 20,000; na
• Karani Mwongozaji Wapiga Kura atalipwa posho ya Tzs. 30,000 kwa siku moja na posho ya chakulaTzs. 15,000.


Work Hours: 8

 

Job application procedure
MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi (Detailed C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) wawili.
• Maombi yote yaambatane na Vyeti vya taaluma, nakala za Vyeti vya Kidato cha Nne, Kidato cha Sita au kuhitimu mafunzo kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Tangazo hili.
• Waombaji waambatishe picha mbili ‘Passport size’ za hivi karibuni.
• Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao.
• Waombaji watakaowasilisha taarifa na sifa za kugushi watachukuliwa hatua za kisheria.
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 27 Septemba, 2020.
Anuani ya kutuma maombi ya kazi ni:
Msimamizi wa Uchaguzi,
Jimbo la Njombe Mjini
S. L. P 577
NJOMBE


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam Details Description Salary Currency: Tanzanian Shilling Responsibilities Type letters and reports, answer the telephone and take messages. General admin Deal with incoming…