2 Mhandisi Mkadiriaji Ujenzi II (Quantity Surveyors) Job at Arusha City Council – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Government
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  18 December 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 14-12-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
2 Mhandisi Mkadiriaji Ujenzi II (Quantity Surveyors)

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Science & Engineering ]

Jobs at:

Arusha City Council

Deadline of this Job:
18 December 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Arusha , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, December 14, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji anawatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Jiji la Arusha kutuma maombi ya kazi ya muda kwa Mkurugenzi wa Jiji ndani ya siku 14 kuanzia tarehe ya Tangazo hili. Nafasi hizi ni za muda wa miezi sita kwa kazi zilizopangwa na kuidhinishwa na Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2020/2021. .

Sifa zinazotakiwa
Awe na Shahada/Stashahada ya juu ya Uhandisi kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali katika ya fani za Uhandisi (ukadiriaji majengo).


Job Skills: Not Specified


Kazi na Majukumu
• Kufanya kazi kwa vitendo katika fani ya ukadiriaji majengo.
• kufanya ukaguzi wa majengo na kuhakiki ubora wa majengo.
• Kupitia mapendekezo ya miradi (Project proposal) mbalimbali ya majengo


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

Job application procedure
MAELEZO YA JUMLA
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na Mwenye akili timamu.
• Waombaji wawe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45.
• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya Elimu/taaluma, cheti cha kuzaliwa na maelezo binafsi (CV).
• Mshahara utakuwa wa makubaliano kwa kuzingatia bajeti.
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 18/12/2020 saa 9:30 alasiri.
• Maombi yatakayotumwa kwa mkono hayatapokelewa.
• Waombaji wenye uzoefu wa kazi watapewa kipaumbele.

Maombi yatumwe kwa anuani ifuatayo:
Mkurugenzi,
Halmashauri ya Jiji la Arusha
S.L.P. 3013, Arusha.


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Administrative Assistant    Dear Prospective Offerors/Applicants: The United States Government, represented by the U.S. Agency for International Development (USAID), is seeking offers from qualified persons to provide personal services under…
Overview BRAC is one of the world’s largest development organisation having extensive development programmes globally. BRAC’s vision is a world free from all forms of exploitation and discrimination where everyone…
VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB)  formerly known as SEDA is a fast growing and reputable Micro Finance Bank (MFB), has a loan book of TZs. 17 billion and…