17 Accountants Job at Rural Water Supply and Station Agency – Career Opportunity in Tanzania

Overview
Job Category: Accounting/ Finance
Job Type: Full-Time
Deadline of this Job:  10th August 2020
Duty Station:  Tanzania
Posted: 04-08-2020
Requirements
Job Description

Vacancy title:
17 Accountants

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Accounting & Finance ]

Jobs at:

Rural Water Supply and Station Agency

Deadline of this Job:
10 August 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Arusha , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, August 04, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.
Meneja wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijijni (RUWASA) Wilaya ya Bukoba, kwa niaba ya Jumuiya za Watumiaji Maji ngazi ya Jamii (CBWSO) za BWERA,KEMONDO,LUKINDO, KYAMULAILE,MASHULE,NYAKABULALA,KAIBANJA, KITAHYA,NYAKIBIMBILI,ITONGO,BUTELANKUZI,BITUNTU,KIBIRIZI,RUBALE,KATALE na MIKONI anapenda kurudia Tangazo la nafasi za kazi za Wasimamizi wa Jumuiya na Wahasibu wa Jumuiya za Watumiaji Maji ngazi ya Jamii katika miradi na vijiji vilivyotajwa hapo juu. Nafasi zinazotangazwa ni:
MSIMAMIZI WA JUMUIYA (SUPERVISOR) .

MAJUKUMU YA MHASIBU WA JUMUIYA
• Atafanya kazi chini ya Msimamizi wa Jumuiya (Supervisor).
• Atakuwa ndiye Msimamizi Mkuu wa masuala yote ya kifedha katika Jumuiya ya Watumia maji.
• Kusimamia na kupokea malipo ya maji (Ankara) na michango mbalimbali ya wanachama/mawakala wa maeneo tumia, fedha taslimu, hundi, n.k.
• Kuandaa taarifa zote za kifedha (mapato na matumizi) za Wiki, Mwezi, Robo, Nusu na Mwaka mzima na kuziwasilisha kwa Kamati ya Maji ya Jumuiya.
• Kutunza vitabu vya fedha, hati za malipo na nyaraka zote za uthibitisho wa mapato, malipo/matumizi ya fedha ikiwa ni pamoja na kutunza kumbumbuku/nyaraka zote za kimanunuzi za Mradi
• Kufanya malipo baada ya kuidhinishwa na Msimamizi wa Jumuiya.
• Kushirikiana na Msimamizi wa Jumuiya kuandaa na kusimamia utekelezaji wa bajeti ya mradi.


Job Skills: Not Specified


Sifa za Mwombaji
• Awe mtanzania mwenye akili timamu, anayejua kusoma na kuandika
• Elimu: Awe na elimu ya kuanzia kidato cha Nne au zaidi;
• Ujuzi: Awe amepata angalau mafunzo ya awali ya uhasibu NVA 3 au zaidi;
• Umri: Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi miaka 45; (
• Awe na uwezo wa kutumia Kompyuta (MS Word na Excel)
• Baada ya kuajiriwa awe tayari kuapa kiapo cha uadilifu katika Uongozi.
• Uaminifu: Awe mtu mwadilifu na mwaminifu na ambaye hajapata kuhukumiwa kwa makosa ya jinai.


Job Education Requirements: Not Specified


MASHARTI YA KAZI/MSHAHARA
• Kazi hii ni ya Mkataba wa Miaka 3, Mkataba unaweza kuhuishwa na Mwajiri. (Jumuiya ya Watumia Maji) kutokana na utendaji kazi mzuri wa Mhusika
• Malipo ya Mshahara kwa Mwajiriwa yatatokana na Makusanyo/mauzo ya maji ya Jumuiya husika.
• Mwombaji awe tayari kufanya kazi katika Jumuiya ya Watumia Maji yoyote kati ya Jumuiya 17 zilizotajwa kwenye Jedwali hapo juu.


Work Hours: 8

 

Job application procedure
MAELEZO YA JUMLA KWA WAOMBAJI WOTE
Mwombaji aandike barua ya maombi kwa mkono (waombaji wanawake wanahamasishwa kuomba na watapewa kipaumbele) yenye viambatisho vifuatavyo:
• Wasifu wake – Curriculum Vitae (
• Nakala za vyeti mbalimbali vya kitaaluma (kidato cha nne, ujuzi nk.)
• Picha ndogo (pass port size) mbili (2) zlizopigwa hivi karibuni. (
• Kivuli cha Kitambulisho cha Uraia ama kadi ya Mpiga kura (
• Majina, Anuani na mawasiliano ya wadhamini (referees) Wawili (2) Maombi yaliyofungwa vizuri kwenye bahasha yapelekwe kwa anuani ifuatayo:

MENEJA WA RUWASA,
S.L.P 1926
BUKOBA.

Aidha, maombi ya kazi yanaweza kutumwa kwa kutumia barua pepe: [email protected]   ama kuletwa kwa mkono ofisi ya RUWASA Wilaya ya Bukoba (zamani ikiitwa Idara ya Maji) iliyopo karibu na Ofisi za ujenzi-Kwa KagamboRwamishenye kuanzia Saa 1:30 asubuhi hadi saa 9:30 alasiri siku za kazi.

MWISHO WA KUPOKEA BARUA ZA MAOMBI
Ili kutoa nafasi kwa waombaji wengi zaidi, mwisho wa kupokea barua za maombi umesogezwa mbele na sasa itakuwa ni Jumatatu, tarehe 10 Agosti, 2020 Saa 9:30 alasiri. Maombi yote yatakayowasilishwa baada ya muda huo hayatapokelewa.
Tangazo limetolewa na:
Severin Rugemalila KAIMU MENEJA RUWASA-BUKOBA
MENEJA WA RUWASA
BUKOBA


Partagez et envoyez cette annonce à vos amis !
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam Details Description Salary Currency: Tanzanian Shilling Responsibilities Type letters and reports, answer the telephone and take messages. General admin Deal with incoming…
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam Details Description TEVI Microfinance Company is a fast-growing microfinance institution operating in Dar es Salaam for almost two 2 years, we provide…