TUNAFANYA MAOMBI YA MKOPO WA JUU HESBL & RITA ONLINE

Share and send to your friends !
Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam
Details
Description

Popote ulipo Tanzania kwa uaminifu mkubwa utafanyiwa maombi ya mkopo ukiwa nyumbani au popote pale bila kupata shida au changamoto ile.
Karibu tukuhudumie kwa bei nafuu sana, maongezi na ushauri kwa mambo yote yahusuyo elimu upo.
Nipigie simu au tuma ujumbe Email na Whatsapp napatikana muda wowote.
Huduma ni kwa wanafunzi pamoja na watu wote wenye uhitaji wa kifedha kwaajili ya ufadhili wa masomo yao kutoka serikari kuu.

Angalizo; Malipo ni baada ya kazi.

Apply for this job
Contact via Phone

Tuma ujumbe au piga simu, whatsapp na email kwa maelezo zaidi. Huduma zote ni Online.

You need an account to contact this user. Please
Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam Details Description Mimi nikija mwenye shahada ya ununuzi na ugavi natafuta kaz yoyote inayohusu taaluma inayoendana na koz nilioisomea Apply for this job Contact via…