Natafuta kazi

Share and send to your friends !
Temeke, Azimio Dar Es Salaam
Details
Description

Natafuta kazi yoyote iwe dukani au ofisini nina diploma ya uhasibu. Lkn ht km kutakuwa kazi ya sio nilichokisomea pia nitafanya kwasababu napenda kujifunza na Nina uzoefu pia kwenye kazi za stationary na mauzo ya dukan

Apply for this job
Contact via Phone

Hakuna

You need an account to contact this user. Please
Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam Details Description Mimi nikija mwenye shahada ya ununuzi na ugavi natafuta kaz yoyote inayohusu taaluma inayoendana na koz nilioisomea Apply for this job Contact via…
Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam Details Description SUMMARY Human Resources Intern will focus on assisting Human Resources department in different aspects including Performance Management, Disciplinary process, staff training and Development,…