Mschana wa kazi

Share and send to your friends !
Arusha Mjini Arusha
Details
Description
  1. Awe na umri kati ya miaka 21 - 35.
  2. Awe msafi yeye mwenyewe na kuonyesha hali ya juu ya usafi nyumbani.
  3. Awe tayari kumhudumia mtoto wa shule wa miaka 9.
  4. Awe na kadi ya nida au kitambulisho cha mpiga kura na aje na barua ya mtendaji kata anayotoka.
  5. Awe anaishi Arusha ila atalala nyumbani kwa ajili ya mtoto.
  6. Awe anafahamu Kiingereza angalau kidogo
Apply for this job
Contact via Phone
You need an account to contact this user. Please
Ilala, Gerezani Dar Es Salaam Details Description Account anaitajika, omba sasa Apply for this job To apply for this job, please go to the following website https://chapchapu.com/job/csg-masaki-full-time-accountant/