I am looking for personal Assistant opportunity

Share and send to your friends !
Kinondoni, Kibamba Dar Es Salaam
Details
Description

Mimi ni kijana, umri miaka 26, ninayeishi Dar es Salaam, muhitimu wa Chuo kikuu kutokana na changamoto za kutafuta kazi, nimeona kutumia muda wangu na nguvu zangu kuwasaidia watu mbalimbali katika majukumu yao ya kila siku.

Hii ni kutokana na wengi kutokuwa na muda au kubanwa na kazi/majukumu na kushindwa kufanya baadhi ya majukumu kama; kufanya manunuzi sehemu mbalimbali, usafi, service za vyombo vya moto na huduma nyingine nyingi zinazoendana na hizo. Pia nina driving licence.

Kwa hiyo nipo tayari kwa wewe kunituma kwa malipo kidogo tutakayokubaliana. Kwa uaminifu nipo tayari kuweka dhamana vyetu vyangu (birth certificate, education certificate) na barua ya utambulisho kutoka mahala ninapoishi.Kwa mawasiliano zaidi0766578968

Apply for this job
Contact via Phone
You need an account to contact this user. Please
Arusha Mjini Arusha Details Description Awe na umri kati ya miaka 21 – 35. Awe msafi yeye mwenyewe na kuonyesha hali ya juu ya usafi nyumbani. Awe tayari kumhudumia mtoto…