Driver Instructor

Share and send to your friends !
Ilala, Kariakoo Dar Es Salaam
Details
Description

Anahitajika Dereva wa kufundisha madereva wanafunzi. Mwenye sifa zifuatazo:-

  1. Umri kuanzia miaka 30 hadi miaka 45.
  2. Elimu kuanzia form 4 na kuendelea.
  3. Uzoefu wa miaka 3 kufundisha darasani na barabarani.
  4. Awe na leseni ya Kuendeshea gari na kufundishia.

NB:
Mwenye cheti cha ufundi atapewa kipaumbele.

Piga Simu Namba +255767889030au tuma kwenye email

Apply for this job

Tuma CV mapema
"[email protected]"

You need an account to contact this user. Please
Temeke, Azimio Dar Es Salaam Details Description Natafuta kazi yoyote iwe dukani au ofisini nina diploma ya uhasibu. Lkn ht km kutakuwa kazi ya sio nilichokisomea pia nitafanya kwasababu napenda…
Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam Details Description Mimi nikija mwenye shahada ya ununuzi na ugavi natafuta kaz yoyote inayohusu taaluma inayoendana na koz nilioisomea Apply for this job Contact via…
Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam Details Description SUMMARY Human Resources Intern will focus on assisting Human Resources department in different aspects including Performance Management, Disciplinary process, staff training and Development,…