Dereva Mwenye madaraja ya C1, C2, C3

Share and send to your friends !
Kinondoni, Kawe Dar Es Salaam
Details
Description

Kampuni inahitaji madereva wenye uzoefu ili tuweze kufanya nao wenye sifa zifuatazo

  • Uzoefu
  • Wasio na rekodi za uhalifu

Vinavyohitajika
Picha yako
Leseni ya madaraja C1, C2, C3
Kitambulisho cha mpiga kura/ Nida ama cheti cha kuzaliwa, kimojawapo kati ya tajwa hapo

Angalizo : Asiwe amewahi kufanya kazi ya taxi mtandao.
Karibu dirisha lipo wazi tuma CV ambatanisha na vinavyohitajika hapo juu kisha tuma kwenda [email protected] . tuma mara moja tu.
DALILI ZOZOTE ZA RUSHWA USISITE KUTOA TAARIFA KWENYE NAMBA YETU HAPO JUU (taarifa ni siri na haiwi kigezo cha kukosa kazi ikiwa unafikia matakwa yetu tajwa hapo Juu)

Apply for this job

You need an account to contact this user. Please
Arusha Mjini Arusha Details Description Awe na umri kati ya miaka 21 – 35. Awe msafi yeye mwenyewe na kuonyesha hali ya juu ya usafi nyumbani. Awe tayari kumhudumia mtoto…